Jumatano, 14 Mei 2025

Vijana St John's University _ Wakitiwa Moyo 2024

 Unapohisi kukata Tamaa Soma ujumbe Huu maana afya ya akili siyo ugonjwa ni ustawi binadamu  anavyojihisi ndivyo anavyotenda. 

Akiwa na furaha anatenda kwa furaha ila aķiwa na huzuni anaweza kutenda kwa huzuni  tunakutaarifu kuwa bado unayo nafasi ya kutimiza ndoto zako Simama na simamia malengo na ndoto zako thamani yako ni kubwa sana.

Kumbuka! Daima! Ulipo.

1️⃣“Usikate tamaa leo, kesho inaweza kuwa siku ambayo kila kitu unachokitafuta kitaonekana.”

Lakini pia 

2️⃣“Kama bado una pumzi, basi bado una nafasi.”


3️⃣“Ulikuja duniani si kuishi kwa kukata tamaa  bali kwa kushinda changmoto.”

4️⃣“Maumivu ya sasa ni maandalizi ya ushindi mkubwa wako wa kesho.”


5️⃣“ Usisahau: hata jua huchomoza baada ya giza nene.”

6️⃣“Wale wasio kata tamaa hata wanapohisi hawana nguvu — hao ndio mashujaa wa kweli.”

Haya ndiyo Maisha.

7️⃣ “ Siku moja utashukuru kwa kuchukua maamuzi ya kutokukata tamaa"

Je kwa sasa ni jambo gani unahisi kulikatia tamaa? 

Au linataka kukukatisha tamaa sema na Akili Platform Tanzania 

0764 246 072 au  0626 551 859 au akiliplatform9@gmail.com au roghatfalme@gmail.com 

0 Comments:

Chapisha Maoni