LISHE NA PRESSURE (HYPERTENSION
Pressure (Blood Pressure) ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye mishipa ya damu.
Inapoongezeka kuliko kiwango cha kawaida, tunaita Hypertension (high blood pressure).Kipimo kinachotumika ni Millimeters of mercury (mmHg)
Mfano wa matokeo ya kipimo: 120/80 mmHg.
.Namba ya juu (systolic) = msukumo wakati moyo unapopanda
.Namba ya chini (diastolic) = msukumo wakati moyo unaposhuka( kupumzika).
๐ซNormal pressure. <120/<80mmHg
๐ซElevated. 120-129/<80mmHg High blood pressure 130-139/80-89mmH
( stage 1).
๐ซHigh blood pressure 140+/90+mmHg
( stage 2).
❤️๐ฅiliyozidi sana >180/>120mmHg.
2. Aina za Pressure
✍️ Pressure ya kupanda.hii ni hatari Kwa sababu huua polepole ( silent killer) Kwasababu huwa haionyeshi dalili.
✍️ Pressure ya kushuka.
๐ฅ๐ฅ SABABU ZINAZOPELEKEA ONGEZEKO LA PRESSURE.
✅ Unene uliopitiliza (overweight/obesity)
✅ Kutofanya mazoezi
✅Ulaji wa chumvi nyingi
✅Msongo wa mawazo
✅Uvutaji sigara na unywaji pombe
✅Kula vyakula vya mafuta mengi (especially saturated & trans fats)
✅Umri kuongezeka
✅Magonjwa ya figo, kisukari
✅ Kurithi kutoka kwa familia
MATIBABU YA PRESSURE๐๐๐ฉบ.
✅ Lifestyle (mabadiliko ya mwenendo wa maisha).mfano,
✍️Kupunguza uzito
✍️Mazoezi angalau dakika 30 kwa siku (kutembea, kukimbia, yoga)
✍️Kupunguza chumvi ( isizidi kijiko kimoja kwa siku)
✍️Kupunguza msongo wa mawazo
✍️Kuepuka sigara na pombe
✅Medical (Dawa)๐๐๐๐๐๐.
Hapa Daktari anaweza kuandika dawa kulingana na stage ya ugonjwa wa mtu husika.
✅Nutrition (Lishe) ๐พ๐ซ๐ฝ๐ฅฆ๐๐ฅญ๐๐ ๐
Huu ni msingi mkubwa wa udhibiti wa pressure.
Kwa Kufuata DASH diet(Dietary Approaches to Stop Hypertension)
Kupunguza chumvi, mafuta mabaya, sukari nyingi
Kula zaidi vyakula vyenye potassium, magnesium, fiber( nyuzinyuzi).

0 Comments:
Chapisha Maoni