Akili Platform Tanzania ni NGO iliyoanzishwa 2022 Tabora, Tanzania, ikilenga afya ya akili, utetezi wa mazingira, na haki za binadamu.
Hutoa ushauri nasaha, warsha, na kampeni za afya ya akili; miradi ya usafi, kuchakata taka, na elimu ya mabadiliko ya tabianchi; na msaada wa kisheria kwa makundi yaliyotengwa.
Inachangia SDGs 3 (Afya Bora), 13 (Mabadiliko ya Tabianchi), na 16 (Amani na Haki).
Mawasiliano: akiliplatform9@gmail.com | +255 626 551 859.
Fuatilia Instagram, Facebook, TikTok.
Jumamosi, 4 Machi 2023
Mkurugenzi wa taasisi ya AKILI PLATFORM TANZANIA ndani ya OR-TAMISEMI 2023-2024 _ Afya ya akili kipaumbele kwa wote watanzania tukaungane
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni