AKILI PLATFORM TANZANIA
Akili Platform Tanzania ni NGO iliyoanzishwa 2022 Tabora, Tanzania, ikilenga afya ya akili, utetezi wa mazingira, na haki za binadamu. Hutoa ushauri nasaha, warsha, na kampeni za afya ya akili; miradi ya usafi, kuchakata taka, na elimu ya mabadiliko ya tabianchi; na msaada wa kisheria kwa makundi yaliyotengwa. Inachangia SDGs 3 (Afya Bora), 13 (Mabadiliko ya Tabianchi), na 16 (Amani na Haki). Mawasiliano: akiliplatform9@gmail.com | +255 626 551 859. Fuatilia Instagram, Facebook, TikTok.
Jumapili, 7 Desemba 2025
Jumanne, 2 Desemba 2025