VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUDHIBITI PRESSURE.🍌🌽🌾🫐.
Matunda (ndizi, parachichi, machungwa, apple).
Yana potassiuminayosaidia kupunguza sodium na kupunguza msukumo wa damu.
Mboga nyingi za majani (spinach, matembele, broccoli).🥦🥬Zina magnesium, potassium, fiber ( nyuzinyuzi ) ambazo husaidia hupunguza shinikizo la damu ( pressure).
Viazi (hasa viazi vitamu).
Vimejaa potassium na fiber( nyuzinyuzi).
Vyakula jamii ya karanga na mbegu (almond, karanga mbichi, mbegu za maboga). Zina healthy fats ( mafuta ya afya ), magnesium ambazo husaidia kuboresha afya ya moyo.
Samaki wenye mafuta mazuri (sardine, salmon, dagaa).Wana omega-3 inayopunguza shinikizo na kuimarisha mishipa.
Nafaka kamili.(uwele, brown rice( Mchele wa kahawia, mtama). Zina fiber inayosaidia kupunguza cholesterol na pressure.
Maji ya kutosha. Yanasaidia kudhibiti mzunguko wa damu na kuepusha msongamano wa sodium.
Maziwa yenye mafuta kidogo (low-fat milk, mtindi). Yana calcium muhimu kwa udhibiti wa shinikizo la damu.
Kitunguu saumu (garlic) Kina allicin inayosaidia kupanua mishipa ya damu na kupunguza pressure. Huwa kina matokeo ya haraka sana
Note:
Pressure inaweza kuzuilika na kudhibitiwa kwa mabadiliko rahisi ya maisha, lishe bora, na kufuata ushauri wa kitabibu. Kula vyakula vyenye potassium, fiber, na mafuta mazuri huku ukipunguza chumvi, mafuta mabaya, na sukari ni silaha muhimu dhidi ya pressure.
Karibu sana Akili Platform Tanzania kwa mahitaji ya huduma ya faraja na msaada wa kisaikolojia 0626 551 859 WhatsApp.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni