Jumatatu, 19 Mei 2025

ENDELEA KUWEKA HAMASA YA KUFIKIA MAENDELEO ENDELEVU HASA KAMA HAWAKUELEWI LEO.

MAISHA YANA MAMBO SABA 



1:- Furaha.

2:- Karaha.

3:- Misukosuko.

4:- Majonzi.

5:- Migogoro.

6:- Mikasa.

7:- Chuki.

Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kuyashinda haya yakupasa uwe na mambo 4.

1:- Subira.

2:- Uelewa.

3:- Uvumilivu.

4:- Msamaha.

Lakini katika maisha yako pendelea sana kuwa na mambo 4.

1:- Msimamo.

2:- Mkweli.

3:- Ujasiri.

4:- Imani.


Ila epuka sana mambo 5.

1:- Udanganyifu.

2:- Uchoyo.

3:- Ubinafsi.

4:- Wizi.

5:- Kufitinisha.

Kumbuka kumjali anaekujali hata kama yupo mbali nawe mpende anaekupenda hata kama hana kitu jali utu kuliko kitu. Maana itakuwa Ibada kwa Imani yako ndio Mafanikio yako Duniani na Mbinguni


Karibu sana Akili Platform Tanzania 0764 246 072 0626 551 859 akiliplatform9@gmail.com Fuatilia mengi ikuwa na Shirika hilo.

0 Comments:

Chapisha Maoni