Jumapili, 9 Novemba 2025

MAPENZI HISIA _ UTULIVU NI TUNDA LA ROHO

 `MWANAMKE TUMIA MBINU HIZI 6 KUMTEKA MWANAUME YOYOTE WATAKUITA MCHAWI UKITUMIA HIZI MBINU`

Support maono yake

_______________________


> Mentor wangu mmoja aliwahi kusema,kazi kubwa ya mwanamke kwny ndoa ni kujua na ku support maono ya mume wake,maono ni ile picha ya maisha yenu yajayo,mara nyingi penda kumuuliza kuhusu future life,muulize anataka umzalie watoto wangapi?muulize kuhusu mipango yake ya kiuchumi then support him to fulfill his plans,wanawake wengi wanaweza kuwafikisha waume zao kileleni ila ni wachache sana wanaweza kuwafikisha waume zao kwenye kilele cha mafanikio.

 Penda anachopenda

____________________

> Angalia mumeo anapenda nn,Kama anapenda jogging,vizia ule muda anatoka kukimbia na ww unatoka unakimbia pamoja naye,Kama anapenda reading mteke kwa kumuuliza anapenda kitabu gani then siku ya siku unamletea kama zawadi,jua interest zake then mpigishe story mbili tatu kuhusu hicho anachopenda.

Treat him differently mbele ya wanaume wengine.

_________________

Zamani tukiwa wadogo,Kama mama kapika kuku,tulikuwa haturuhusiwi kabisa kula firigisi na mapaja,alikuwa anasema hivi ni vya baba yenu,hii akili walitumia sana wamama wa kipindi hicho,baba alikuwa Kama Mfalme,mwanamke kupiga goti ilikuwa ni kawaida,Kuna siku nilikuwa kwny kongamano flani hv,yule mnenaji akiwa anatiririka,aliinuka mama mmoja akaenda kumfuta jasho mbele ya umati,niliona ujasiri na akili kubwa sana kwa yule mama,ukiwa mahali fanya iwe rahisi watu kujua huyo ni mume wako bila hata kusema.

Usipende pesa zake,penda idea zake.

_______________________

Tabia ya kupenda na kuomba omba pesa kwa wanawake wengi imekuwa ni sugu mpk unahisi hawa viumbe wana vinasaba vya pesa kipindi tunachumbia Huwa tunasema mwanamke atakaye niomba pesa kabla sitamuoa hana bahati!chukua hii akili,badala ya kuomba omba pesa,omba akupe ideas za namna ya kupata pesa,omba akupe mtaji,ukifanya hivyo atakuona ww ni wife material sio mpigaji.


 Degree of sensintivity

________________________

> Huu ni uwezo wa kurespond unachoagizwa,

> mwanaume ni mamlaka anapokuambia fanya kitu flani u have to do it very quick,ule ushapu wako ndio silaha yako ya maangamizi,mwanamke unamtuma kitu anajivuta vuta,mara aseme nimechoka,Mara akataye utadhani amejioa! mabinti wa kazi wako vizuri sana kwenye hili eneo,ukikohoa tu utaskia abee baba..acha tuwape mauwa yao hii ni sababu tosha kwanini most men wana cheat na wadada wa kazi,gwaride wanaliweza,hebu chukua haya madini ukaifufue ndoa yako,kulalamika kwamba mumeo ana cheat haitakusaidia.

 Muonekano ndio kila kitu

______________________

> Simaanishi uwe unajiremba sana na kuvaa nguo za thamani,hapana just be natural,uwe msafi na uwe na muonekano wa kike,wanawake wakiolewa wanajiachia sana na kujisahau Aya sasa Wanaume nione kama mnabisha na hapa unachomokaje hapa??

0 Comments:

Chapisha Maoni